Ndio maana nimekwambia elewa kwanza nature ya Allah na nature ya JehovahMungu wangu mungu wangu mbona umeniacha
Soma kwanza Baba , mwana na Roho mtakatifu uelewe kwanzaSawa,Ila yesu ana mungu wake,akimuomba kila alipokwama
Ingekuwa busara kama ungeanzisha thread yako na kuingiza Imani yako huko kuliko ulivyo fanya. Huo ni uchokozi usio na busara!Mimi sijatangaza dini yoyote hapa. Yesu Kristo sio dini.
Sawa.Ingekuwa busara kama ungeanzisha thread yako na kuingiza Imani yako huko kuliko ulivyo fanya. Huo ni uchokozi usio na busara!
Myangu,Nakuombea maisha marefu mzee wangu Mungu akupe siha njema
Mfano wa maneno hayo niliyoyaandika bwana Mohamed SaidMyangu,
Amin kwa sote.
Nimefungua uzi mfano wa huu.
Myangu,Mfano wa maneno hayo niliyoyaandika bwana Mohamed Said