Ndio maana nimekwambia elewa kwanza nature ya Allah na nature ya JehovahMungu wangu mungu wangu mbona umeniacha
Jua tofauti zao kwanza , video niliyokuwekea imeeleza vizuri na ni waislamu wapo humo wanaelezea ,
Allah ni physical being while
Jehovah ni spirit
Spirit to manifest inaitaji mwili , mwili una human flesh ,soul na spirit
Unatakiwa uwe muelewa mwili na soul vinapo fanya jambo na kuongea na spirit inapo ongea ( kwa nature ya Yesu)
Human flesh tunaona mara nyingi zinakuwa possessed na demons how and why?
Najua mpaka Allah kasema kawanyima elimu ya rohoni ila nimekupa kidogo kama mtoto