Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mhe. Tabasamu Hamis, akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Mei 6, 2024 Bungeni Dodoma.
" Uwanja wa Dodoma ni mdogo lakini haujaufanya kuwa bize kwa ajiri ya biashara" Alisema Tabasamu.
Pia alizingumizia swala zima ya safari kufika mikoa mingine kuja Dodoma, kuwa uwanja wa ndege ni mdogo na hakuna njia ya moja kwa moja, hivyo aliomba maboresho hayo na mwanza kutupewa ndege yao kwani ndege mpya imeshafika.
Aidha Tabasamu ameongelea swala zima la madereva kusumbuliwa na mizani wanapo safirisha mizigo kwa nchi jirani kama Congo, amesisitiza zaidi juu ya kutumia fursa na kufanya biashara na wacongo kwani wanamahitaji mengi kutoka kwetu.