Tabasamu la Mbwana Samatta akiwa mazoezini KRC Genk, Agosti 17, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mbwana Samatta akiwa katika mazoezi ya timu ya KRC Genk baada ya kurejea kwa mkopo

FaSuVAbXwAITb56.jpg

FaSuU9PXkAAGMFc.jpg
FaSuU9GX0AM62uq.jpg

FaSuU_PXgAEwuk-.jpg
 
Ananiboa tuu akiwa kwenye timu ya taifa
Dah! Ungenishuhudia enzi zangu nacheza mpira, ungekuwa unatabasamu tu muda wote.

Maana nilikuwa napiga magoli ya aina zote!! Ya mbali, ya karibu, ya penati, ya kichwa, ya miguu yote, ya visigino! Huku niliko mpaka kesho naitwa Mzee Pele.
 
Apambane sasa hapo hapo tena siyo.kuzurura anatuchosha kubadili jezi na kutukanana na mashabiki wapya huko mitandaoni.
 
Dah! Ungenishuhudia enzi zangu nacheza mpira, ungekuwa unatabasamu tu muda wote.

Maana nilikuwa napiga magoli ya aina zote!! Ya mbali, ya karibu, ya penati, ya kichwa, ya miguu yote, ya visigino! Huku niliko mpaka kesho naitwa Mzee Pele.
Kumbee ulicheza timu ya Taifa?
 
Kumbee ulicheza timu ya Taifa?
Hapana bhana! Ni timu ya Kijijini kwangu tu huku milimani niliko. Ila ingekuwa ndiyo sasa hivi, nina uhakika kocha wenu Zolan angenipa mkataba faster ili kuokoa jahazi pale mbele.
 
Aisee sema sasa ulikuosea kuwa huko unakoshabikia
 
Dah! Ungenishuhudia enzi zangu nacheza mpira, ungekuwa unatabasamu tu muda wote.

Maana nilikuwa napiga magoli ya aina zote!! Ya mbali, ya karibu, ya penati, ya kichwa, ya miguu yote, ya visigino! Huku niliko mpaka kesho naitwa Mzee Pele.
Chandimu
 
Back
Top Bottom