boston consulting group
New Member
- Feb 13, 2025
- 1
- 0
Barabara ya Tabata Chang’ombe ni barabara kongwe sana kiukweli inatia aibu sana zaidi ya miaka 30+ haina lami kabisa na wala mbunge wala viongozi hawaangaiki ikikaribia uchaguzi hapo wanafika wapimaji watu wa kuchora kuta za watu lakini baada ya hapo hakuna kitu, kabisa mvua ikinyesha inakuwa ndio balaa kabisa hivyo mamlaka zinazousika tunaomba mlifanyie kazi hili kuna mahala sasa kabla haujafika mwisho kuna mawe yaliwekwa siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali ya mtaa ndio mpaka sasa gari zinapokezana kupita kwenye uchochoro