KERO Tabata Chang’ombe barabara mbovu mno

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Feb 13, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Barabara ya Tabata Chang’ombe ni barabara kongwe sana kiukweli inatia aibu sana zaidi ya miaka 30+ haina lami kabisa na wala mbunge wala viongozi hawaangaiki ikikaribia uchaguzi hapo wanafika wapimaji watu wa kuchora kuta za watu lakini baada ya hapo hakuna kitu, kabisa mvua ikinyesha inakuwa ndio balaa kabisa hivyo mamlaka zinazousika tunaomba mlifanyie kazi hili kuna mahala sasa kabla haujafika mwisho kuna mawe yaliwekwa siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali ya mtaa ndio mpaka sasa gari zinapokezana kupita kwenye uchochoro
 
Tabata chang'ombe iko ndani ya Jimbo la Ilala, ngoja nimuandikie email Mh Zungu, Poleni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…