Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Habari zenu wanaJamiiForums.
Leo nataka niwajuze tabia ambazo mimi sizipendi ambazo sio za kistaarabu ambazo naziona kwenye maisha yetu ya kila siku
1. Acha kujisokonyoa puani na vidole vyako maana pua ina bakteria wengi sana
2. Piga mswaki kwa dakika 5 hadi 7 sugua kila aina ya kona hasa ulimi unabeba uchafu sana. Unakuta anapiga mswaki dakika 2 tu huyooooo. Kinywa kinakuwa kichafu hasa wanawake wengi hawapendi kupiga mswaki
3. Acha kujishika sehemu za siri hata kama zinawasha, ikitokea unawashwa jikunie hata kwa nje ya nguo
4. Ikiwezekana avoid hand shaking (KUSHIKANA MIKONO) huwa tunaambukizana sana bakteria
5. Ukinywa soda suuza kinywa na maji kwa kuyanywa ukiacha hivyo basi meno yako yataaribika
6. Nawa maji ukitoka chooni kwa haja ndogo au kubwa
7. Usipenge kamasi kwa mikono mitupu hakikisha unakuwa na kitambaa maalumu
8. Muungwana yeyote anakuwa na kitambaa cha kujifutia jasho ukijiona unatembea bila ya kitambaa ww ni mchafu.
9. Hakikisha makalio yako unayapaka mafuta, hasa wanaume hatupaki makalio yetu mafuta unakuta makalio magumu kama mabanzi ukikaa unasikia maumivu
10. Anika nguo zako za ndani kwenye jua la kutosha sio unavaa nguo ya ndani na uvundo
Wasaalamu.Povu linakaribishwa