Tabia 10 mbaya ambazo haziendani na urembo na utanashati

Tabia 10 mbaya ambazo haziendani na urembo na utanashati

yaani ni hivi mwili wetu wote umetawaliwa na wadudu ndo maana ukifa huchukui sekunde unaanza kunuka so hizo zote ulizo andika ni utumwa wa akili naishi niwezavyo maana hizo haziniongezei miaka
 
11.Kuongea Kwa Sauti Kubwa wakati huyo mtu unayeongea naye yupo karibu yako.
12.Kutosalimia watu nayo sio ustaraabu.
13. Kutafuna chakula kwa sauti wakati mwingine unaongea chakula kikiwa mdomoni.
14. Kuna wale wanao koroma kama kuku mwenye vifaranga kama anavuta makohozi...huwa wanadai koo linawasha.
15. Kuvuta chai kama unakunywa uji
 
16.Kupenga Mikamasi wakati watu wanakula au Kutema mate pembeni wakati watu wanakula.
 
Point no 2 ni kweli kabisa na wanawake wengi wana ndimi chafu zenye utando mweupe...

Wajirekebishe
 
Back
Top Bottom