Tabia 10 mbaya ambazo haziendani na urembo na utanashati

Tabia 10 mbaya ambazo haziendani na urembo na utanashati

Namba 9 ni ushauri kwa wanaume wa Dar ... Mwanaume unataka Kuwa na Makalio laini ili iweje
 
INA MAANA WANAUME WOTE MNAPAKA MAFUTA USONI NA MIKONONI TU
 
Mafuta makalioni unatafuta nini mwanaume, nahisi walio wengi hupaka mafuta sehemu zinazo onekana tu na kama kuna ulazima, tofauti na hapo mafuta si lazima kwa mwanaume. Ndugu yangu hiyo namba 9 siyo kwa wanaume halisi.
 
Kuvuta sigara na ulevi je?
Hujagusia haya, bado nywere kwa wadada hunuka akikaa nazo kwa mda mrefu bila kuziosha huku jasho kaali... kunuka kwake huwa km mzoga ulooza.
 
Namba 9 siwezi kuitekeleza mimi

Uso, mikono basi, na miguu napaka kama sivai soksi

Hizi mambo za kuvua nguo zote na kujipaka mafuta tuwaachie wanawake na wasichana .
 
Quinton Canosa, Kusalimiana kwa kushake hands ni lazima kwa "wanaume wenye heshima zao" na kupaka mafuta ni vizuri ila kwa "wanaume kamili" kupaka mafuta makalioni sio jambo la kuentertain na halimaanishi umaridadi wowote, makalio ya kiume yanatakiwa kuwa magumu, yasiyovutia na yanayokera, fullstop, ukiyaremba yatavutia
 
Back
Top Bottom