Nyondo Daniel
New Member
- Jul 7, 2016
- 4
- 1
Great homeboy!Siri ya utajiri ni ubahilii..acha tuoneakane wabahili tu
Siri ya utajiri ni ubahilii..acha tuoneakane wabahili tu
HUPENDA MABAVU! WAO HEKIMA HAIKUUMBWA KWENYE MAFUVU YAO! WALILETWA KAMA EMPTY SET,WALIKOSEWA KWA KUPEWA SAUTI MAANA WAO MATAMSHI NDO FIMBO YA KUCHUNGA NG"OMBE ZAO MALISHONI.Kuna Kabila Jipya Linaitwa CCM Vipi Hili Nalo Lina Sifa Gani??.
Itakuwa wew mwanaume was Dar! Nawaza tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]mi mbona muhaya sina hivo vigezo
Mkuu Mpare kuwa ni Mbahili ndio Mjanja?
All managers do things with a badget!....Kuhonga ni ujanja au ufamba? Nawaza tu kwa sautiMkuu Mpare kuwa ni Mbahili ndio Mjanja?
Ukiwa ni Mwanamme lazima kuhonga usipo honga wewe unataka wewe uhongwe?All managers do things with a badget!....Kuhonga ni ujanja au ufamba? Nawaza tu kwa sauti
Mkuu u posses evil notion against wome.Ukiwa ni Mwanamme lazima kuhonga usipo honga wewe unataka wewe uhongwe?
WALUO-JARUOMKONO WA SWETA-WAHEHE
Wahehe tumekukosea nini jamaniWakinga wabishi, wasiri sana lakini atataka kujua ya kwako. Wazito kutongoza actually hawajui kutongoza hahahahhhh Wangoni hawa watu hawa wanasifika sana kwa nyumba ndogo. Wahehe limbukeni na maisha ya mjini