Tabia 20 za wanaume wa Tanzania

Tabia 20 za wanaume wa Tanzania

Siri ya utajiri ni ubahilii..acha tuoneakane wabahili tu
1471970975009.jpg
 
Kuna Kabila Jipya Linaitwa CCM Vipi Hili Nalo Lina Sifa Gani??.
HUPENDA MABAVU! WAO HEKIMA HAIKUUMBWA KWENYE MAFUVU YAO! WALILETWA KAMA EMPTY SET,WALIKOSEWA KWA KUPEWA SAUTI MAANA WAO MATAMSHI NDO FIMBO YA KUCHUNGA NG"OMBE ZAO MALISHONI.
 
Hivi wanaume wa kimasai, huwa hawahesabiwi kama sehemu ya wanaume wa Tanzania. Na Wameru je?
 
Ukiwa ni Mwanamme lazima kuhonga usipo honga wewe unataka wewe uhongwe?
Mkuu u posses evil notion against wome.
Unasahau kuwa moyo wa binadamu haupatikani soko kuu LA dunia.
Vivyo hivyo hakuna kodi wala VAT juu yake.
No share is made on it and one can buys somebods heart.
Ukimfatiliia Aristotle utaelewa na kupuuza dhana ya kuhonga wanawake!
Ubongo wako bado mchanga katika haya.
 
Safi sana.vp kwa wale ambao makabila yao hayajatokea kwenye listi?
 
Wanyakyusa ni kweli, hata mie ninalo limkono la sweta! Na sina mpango wa kulitoa japo shule ipo kwa saana tu!! Ila usiombe demu wako akutane na mm kwa bahati mbaya ,sidhan kama atarudi kwako.
 
Wakinga wabishi, wasiri sana lakini atataka kujua ya kwako. Wazito kutongoza actually hawajui kutongoza hahahahhhh Wangoni hawa watu hawa wanasifika sana kwa nyumba ndogo. Wahehe limbukeni na maisha ya mjini
Wahehe tumekukosea nini jamani
 
Back
Top Bottom