Tabia 20 za wanaume wa Tanzania

Tabia 20 za wanaume wa Tanzania

Aiseee 100% right... Kwa makabila niyajuayo umegonga mule mule

Yaani Kuna Mzee anaitwa Cosmas ni Mngoni.. yani Jamaa Ana Wake Mpk Keshawasahu ... Anawaambia hadi watoto wake Wakitaka Kuoa wamwambie Kwanza ... Watoto Hadi wanaitwa na Majirani wanaambiwa unajua huyo hapo Ni kaka Yako..
 
Sijaona kabila langu,ila ningependa kufahamishwa kwa hao wenyewe wetu wa Dar, vipi wanapata wapi pesa za kuendesha maisha yao kama hawafanyikazi ??
 
Wakinga wabishi, wasiri sana lakini atataka kujua ya kwako. Wazito kutongoza actually hawajui kutongoza hahahahhhh Wangoni hawa watu hawa wanasifika sana kwa nyumba ndogo. Wahehe limbukeni na maisha ya mjini
 
Back
Top Bottom