Ulizoandika hizo ni mbwembwe tu wanakula sana vya mafutamafuta + vinyaji vya sukar hata wanaume wanaokula hivi vitu huwa wanene,,, hujiulizi mbona wenye maisha magumu hawafumki? Na wanakua kaukau,,,alafu ni wachoyo wabinafsi ukimuachia ya matumiz chenji inayobaki anaenda mtaan kujazilizia vitamu kama vichipsi visoda kipande cha kuku wa kukaanga n.k mme utakula cha nyumbani tu