Tabia 4 za Asubuhi zinazosababisha kuongezeka Uzito

Tabia 4 za Asubuhi zinazosababisha kuongezeka Uzito

musa kangile

New Member
Joined
Jun 3, 2017
Posts
3
Reaction score
1
MWANAMKE,
Hizi Hapa Tabia 4 Za Asubuhi Zinazosababisha Kuongezeka Uzito.

1. Kulala sana asubuhi
2. Kuruka breakfast (huoati mlo wa asubuhi kwa wakati sahihi)
3. Haupimi Uzito Marakwamara
4. Kukaa sana ndani (Haupati mwangaza wa asubuhi/jua la asubuhi)

ZIEPUKE
IMG_20230907_172657_298.jpg
 
Ulizoandika hizo ni mbwembwe tu wanakula sana vya mafutamafuta + vinyaji vya sukar hata wanaume wanaokula hivi vitu huwa wanene,,, hujiulizi mbona wenye maisha magumu hawafumki? Na wanakua kaukau,,,alafu ni wachoyo wabinafsi ukimuachia ya matumiz chenji inayobaki anaenda mtaan kujazilizia vitamu kama vichipsi visoda kipande cha kuku wa kukaanga n.k mme utakula cha nyumbani tu
 
Back
Top Bottom