Watu wachache watakubali. Idea ni msingi wa mafanikio, pili soko la bidhaa itakayotoka, tatu akili na uwezo wa kuisimamia Idea. Na mwisho ni capital. Mifano ipo mingi ukipewa pesa huna idea na uwezo wa kubuni biashara fedha utakula kiha ulie njaa.tizama Mark Zuckenberg mmiliki wa FB alikuwa na kiai gani cha fedha pindi anatoka na thefacebook. Waliowengi ninaowasikia wakilia mtaji, hawajui wakipata fedha watafanya nini.au hawana uelewa na soko. Tujitahidi kupata idea na nzuri. Idea ikiwa nzuri pia wakukupatia pesa watajitokeza.