Tabia 9 zinazokimbiza Wateja wako

Na hizi weaknesses ndio waganga wanawaambia wateja wao wafanye huku wakiwachanja chale za uongo na kuongezea masharti madogo madogo kama leta kuku mweupe na nguo nyekundu [emoji1] [emoji1787]
 
Mteja wa kweli haangaliagi vtu km ivyo
Mteja wa kwel anataka mzgo mkubwa na kwa bei reasonable
Af kla mtu anakuja na shida zake dukan mambo ya kuangalia mwenye duka analala lala yanakuhusu anaongea na simu mara anaelekeza bidhaa kakaa uyo sio mteja uyo ni mkaguzi

Biashara inataka eshima na mteja anatakiwa kueshimiwa na kupewa uduma kwa muda sahihi inje ya hapo ni uganga wa kienyeji uwo unaeleza
 
Kuna wanaoweka vijiwe vya kubishana mpira dukani..
Na wale ambao chenji hawana kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…