Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
- Thread starter
-
- #21
au manabii wa mchongoNa hizi weaknesses ndio waganga wanawaambia wateja wao wafanye huku wakiwachanja chale za uongo na kuongezea masharti madogo madogo kama leta kuku mweupe na nguo nyekundu [emoji1] [emoji1787]
Hao ndio kabisaaaau manabii wa mchongo
ukiwajulia wateja wako pita humo humo, punguza bei ,punguza kipimoni sawa.. lakn wateja wa Bongoland.. Unafuu ndio kwa sana! Wanapenda sana unafuu;;..Asikwambie mtu!
Kuna mteja kila siku anakuja na elf10 anataka kitu cha jero utazani ni chuma uleteKuna wanaoweka vijiwe vya kubishana mpira dukani..
Na wale ambao chenji hawana kila siku
Huyo anataka chenji kijanjaKuna mteja kila siku anakuja na elf10 anataka kitu cha jero utazani ni chuma ulete