Hii ni kama wakili peter kibatalaMwanamme kuongea ana betua betua midomo
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Yani hapo kamtukana mpaka Masiha wa NazaretiLeo ndio nmejua kuwa wine imetengenezwa kwa ajili ya wanawake tu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Wine na Chips mayai tukiwaachia peke yenu mtamaliza?
Aya bhana jiwe gizani
Leo ndio nmejua kuwa wine imetengenezwa kwa ajili ya wanawake tu
hahahahahahaaaaMwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Siku hizi unanitenga sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo anatakiwa akalie makaburini au chooni?Huwa nashangaa kuona Mwanaume anakula ubuyu au pipikijiti njiani.