Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kwamimi siwezi kwenda bar na washikaji halafu kila mtu atoe pesa kivyake hiyo haijakaa powa,kwangu nikienda na washkaji kupata vyombo lazima nilipe huo ndio ubest,ukiona washkaji wameenda bar kila mtu analipa bills kivyake basi jua hao wana urafiki wa mashaka.Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Poa,kakaNimeuliza tu mkuu
Teh...Hivi na we Eli79: ...unakunywa wine? Khaaa!
Nikinywa uwe karibu yangu Mbiti, walau nitapata wa kunirudisha home[emoji16][emoji16]siku akinywa atawehuka ukute!
Santee chabusoPoa,kaka
Usinywe wine banaa...si umemsikia Mzigua? 😀 😀 😀Teh...
Mara moja kama jua linavyopatwa na mwezi mkuu, ila bia sijawahi asee!!
ww nishakupania kukunywesha robertson!jiandae kisaikolojia!lol.....Nikinywa uwe karibu yangu Mbiti, walau nitapata wa kunirudisha home[emoji16][emoji16]
Anna sinywi, ila merlot mkuu, glass moja wikiendi sio dhambi bwana [emoji41][emoji41]Usinywe wine banaa...si umemsikia Mzigua? 😀 😀 😀
Wine ina tabia ya kushusha damu huko kunako, usinipanie sana [emoji3][emoji3]ww nishakupania kukunywesha robertson!jiandae kisaikolojia!lol.....
weeee!acha kbs!hahahah siwez kumkaribisha shetan!TUTAMCHAMBAJE akitushinda!lol..mm nitaitoa hyo damu chin kuipeleka JUU!ISIMAME!Wine ina tabia ya kushusha damu huko kunako, usinipanie sana [emoji3][emoji3]
Nitashukuru sana ndugu mukulugenzi kwa heshima hii adhimu.mi natoa gari special kwa ajili ya iyo siku
HahahahahHarufu tu nikasalimu amri
Ahahahahit against you sociable
Halaf huyo muhuni kwenye Avatar ni Konyo kishenziAhahahah
Eh mwambaHalaf huyo muhuni kwenye Avatar ni Konyo kishenzi
Na Mimi Nina tabia nisizopenda Kwa wanawake.
Mnafika nae geto mmekaa nae kitandani anauliza unataka kufanya nini? Mimi huwa nawajibu nataka kufua nguo pale kitandani.[emoji23] [emoji23]
Ahahaha!! Hilo lako Kali sana. Vipi wewe huwa ni me au ke? Tafadhali nipe Jibu zuri best sio kama haya ya Lodi lofa.Na ndo jibu linalostahili aisee ama unamwambia nipo zizini nasubiri kukamua ng'ombe.
Haa ajali zimeongezeka sana nadhani sumatra waangalie hili[emoji3]Siku hizi usafiri wa ungo sio wa uhakika