Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kunywa Mirinda nyeuthi cjui ntaacha Lin?[emoji55]
Unaamka saa 11 unafanya mazoezi kisha unalala tena?kuamka saa kumi na moja kufanya mazoezi alafu nkitoka kama mda wa kazini bado narudi kulala alafu nakuta shachelewa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ni joke mkuu , naanzaje kwa mfanoUnaamka saa 11 unafanya mazoezi kisha unalala tena?
Acha mazoezi hayana faida kwako.
Acha uongo mkuu mbona udanganye?Alafu kila mnywa Mirinda nyeusi ni mpenda ngono/mapenzi, wewe chunguza tu utakubaliana na mim [emoji23][emoji23][emoji3]
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
Dah.... Na asiyependa mapenzi anyooshe mkono [emoji41]Alafu kila mnywa Mirinda nyeusi ni mpenda ngono/mapenzi, wewe chunguza tu utakubaliana na mim [emoji23][emoji23][emoji3]
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA