Tabia gan umeshindwa kuacha

Tabia gan umeshindwa kuacha

Kutamani kila mwanamke aliyependezwa na nguo alizovaa,haijalishi ni bibi au ni mtoto
 
Kuongea na mdemu haaaah siipendi hii tabia wananizoea sana
 
Alafu kila mnywa Mirinda nyeusi ni mpenda ngono/mapenzi, wewe chunguza tu utakubaliana na mim [emoji23][emoji23][emoji3]


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
Dah.... Na asiyependa mapenzi anyooshe mkono [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
kutopita siku bila kuwasha data kwenye simu yangu
 
Back
Top Bottom