Tabia gan umeshindwa kuacha

Tabia gan umeshindwa kuacha

kutoa visingizio kila nikialikwa mtoko(date) 🙁
 
Kupuuzia mambo, hii kitu inanigharimu na kuacha siwezi.

Naweza puuzia jambo la msingi sana hata linalonihusu personally, likiharibika na take responsibilities bila lawama na bado nafeel Ok tu.

Huu sijui ni ugonjwaa [emoji848][emoji848]


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Back
Top Bottom