MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,039
- 855
Kuna baadhi ya wadau wa JF kwenye jukwaa letu la Kazi na tenda, wanakuwa kama wametumwa na shetani, ukiandika post yako wao kazi yao ni kuandika utumbo na kukatisha watu tamaa.
kwa mfano mtu anaandika baada ya kazi kutangazwa salary ni 200,000 anaanza kukandia, kamshahara gan, aaah watu tuna mihela, please tuachiani sie tusio na kazi tuombe we kama uayo usikandie, kwani mwataka tukaibe mtuchome moto