Tabia hii haipendezi

Tabia hii haipendezi

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,039
Reaction score
855
Kuna baadhi ya wadau wa JF kwenye jukwaa letu la Kazi na tenda, wanakuwa kama wametumwa na shetani, ukiandika post yako wao kazi yao ni kuandika utumbo na kukatisha watu tamaa.

kwa mfano mtu anaandika baada ya kazi kutangazwa salary ni 200,000 anaanza kukandia, kamshahara gan, aaah watu tuna mihela, please tuachiani sie tusio na kazi tuombe we kama uayo usikandie, kwani mwataka tukaibe mtuchome moto
 
by the way binadamu hatuko sawa na hata vipato vyetu haviwezi kufanana.we km unapokea mamilion haimaanishi wote tupokee hyo hyo.haya maneno yanasababisha vijana nowdays wanajifanya expensive sana.
 
Malalamiko yako ni ya kweli kabisa ila nadhani watoto ni wengi huku JF siku hizi.
 
kweli cyo mpango cuz tukiwa wote 2napokea hizo milion nani atakuwa boss cz wote 2takuwa tunapokea milioni
 
Pole sana hatufanani wote hata vidole havilingani kuwa mpole na mvumilivu
 
Viumbe wengine ni wa ajabu sana wameumbwa kupondea sana,we kama una kazi nzuri yenye mshahara mkubwa ni yako na inasaidia familia yako na haina msaada wowote kwangu.Wanachotakiwa kutambua ni kwamba hata mbuyu ulianza kama mchicha.Ishaalah one day yes
 
Mi nawaunga wote mkono mliochangia mada,Nadhani ni suala la ulimbukeni wa pesa maana majivuno ya alienazo yanamuhusu nn asienazo wakati huna msaada wowote kwake, Ukiheshimu pesa itakuheshimu, Bado watoto Wakikua wataachaaa..
 
Malalamiko yako ni ya kweli kabisa ila nadhani watoto ni wengi huku JF siku hizi.

Ni kweli kuna haja ya kupunguza watoto humu maana zamani watu walikuwa wanaongea mambo ya maana hata hoja kutoka mataifa mengine tulikuwa tunazipata hapa lakini kwa sasa watoto ni wengi na wanaongea mambo ambayo hayatujengi kama great thinkers
 
Back
Top Bottom