tabia hii inaweza ikamletea madhara?

tabia hii inaweza ikamletea madhara?

1. Huenda sio makosa yake..yeye asubuhi chai maharage...mchana ugali maharage...jioni wali maharage.

AU

2. Ni wa jinsia gani vile?


3. Ni tabia tu.


But in any case unapaswa kumuonya.
 
Jamii dokta kama mpo msaidieni kutatua tatizo la rafiki yake kitabibu na kisaikolojia kama inawezekana maana post zote sioni hata pahala mtu kazungumzia hilo tatizo kuwa labda jamaa maeneo flani nat zimeloose so brek zinafeli kila time once anapo fill ku vyuuuuuuuuu!!!
 
Amani iwe nanyi wanajamii forum,kuna rafiki yangu ana tabia ambayo may be isnt good that's anapenda kujamba ovyo hata mbele za watu bila aibu unakuta ndo ile mpo na watu wa heshma hafu ye ana have shuta like fyuuuuuu yani kimya kimya ila harufu yake ucpime then pipo wanajikaza kisopu huku kama wakihemea juu juu,sometyms mnakuwa ghetto hafu ngoma fuluni playing from radio ile mzuka unawapanda mnaanza kuyarudi mangoma ghafla mbruuuu plus harufu dah!hata kama nyimbo ni mpya inachuja hapo hapo raia wanacepa kwanza harufu idefuse ndo waback inside.Asking u pliiz,iz he right?

Mkuu mimi nahs wewe ndo una tabia hii,
au huwa unaenda matakoni kwake kumnusa kujua km amejamba au la??? 😕

NB:
Huyo rafikio anahitaji kuambiwa ukweli kwamba tabia hiyo sio nzuri kabisa, anatakiwa wakati anasikia tu kujamba inabidi aende mbali na watu au chooni halafu ajambe, akimaliza ajaribu hata kujikung'uta kidogo ili hewa chafu kwenye nguo iondoke kabisa ndio arudi aendelee na shughuli.
SI TABIA NZURI HATA KIDOGO KUJAMBA MBELE ZA WATU, MWAMBIE AJIHESHIMU!!!
 
Back
Top Bottom