valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
Sasa....khaa!Asante rafiki, unadhani imenitokea mara moja, imeshanitokea kwa watu zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti
Mimi sijui labda, wewe ulitaka kuendelea kuwa rafiki yake? basi kuna kitu umependa kwake na kama na yeye ataendelea na wewe nawe utakuja kumtongoza. Kama hujampenda au umempa sababu zako hajakuelewa wa nini huyo tena? Hahahaha unalialia kumpoteza wewe au unakumbuka viofa ofa alivyokuwa anakupa?
Khee! kijamaa kimbea eh?Poa best yangu, nitazingatia ushauri wako,
Fidel80 aliniambia jana mlikuwa wote, mlitoka saa ngapi hapo counter
Ni kwli hakiwezekani, basi tuendele kuwa marafiki tu, yanini uadui tena