Tabia hii kwa Wanaume

Tabia hii kwa Wanaume

kwani kama vipi hataki kukubaliana hali halisi mteme, salamu k2 gani. Inasaidia nini ukishamsalimia mtu?
Mi nlizani ni business partner wako au major customer kumbe wakuja tu.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Huyu dada atakuwa alishanogewa na viofaofa ndiyo maana analia lia hapa
 
Ni kwli hakiwezekani, basi tuendele kuwa marafiki tu, yanini uadui tena

cha uso kinauma mbaya
Sasa akusalimie tena wa nini wakati alichokuwa anataka hakiwezekani
 
Asante rafiki, unadhani imenitokea mara moja, imeshanitokea kwa watu zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti

Nimekuja hapa kumsalimu rafiki yangu ram.

Na kumpa pole kwa kutongozwa na rafiki yake.
 
Asante rafiki, unadhani imenitokea mara moja, imeshanitokea kwa watu zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti
Sasa....khaa!

Angalia wasije wakakubaka......... punguza kujiremba bana! Na usiwachekee hovyo hao wakware.
 
Hapa sizungumzii suala la ofa ndugu yangu, na hii kitu haijanitokea kwa mtu mmoja nina experience ya zaidi ya wakaka/wanaume wanne, mkokawaida kabisa, mnawasiliana kawaida, mnatoka out pamoja lkn anakuja anakutongoza, unamwambia haiwezekani tuwe hivi tulivyo, mtu anabadilika yale mazoe yaliyokuwepo yanapungua mwisho anakununia kabisa, sasa hapo kuna ofa gani, binafsi niona ni ushamba tu wa baadhi yenu mnataka kila mwanamke mmvue pichu.....

Mimi sijui labda, wewe ulitaka kuendelea kuwa rafiki yake? basi kuna kitu umependa kwake na kama na yeye ataendelea na wewe nawe utakuja kumtongoza. Kama hujampenda au umempa sababu zako hajakuelewa wa nini huyo tena? Hahahaha unalialia kumpoteza wewe au unakumbuka viofa ofa alivyokuwa anakupa?
 
Mwanamke kuombwa hiyo ni heshima tosha kwamba ana vigezo. Mwanaume kukataliwa hiyo ni bahati nenda kasherehekee hujui Sir God amekuepushia nini kutoka kwa mwanamke huyo. Kila kitendo kina maana yake ni vema kikaheshimiwa.
 
Mwanamke kutwa nzima bila kupigiwa japo mluzi ni mkosi..Hakunaga urafiki mwanamke na mwanaume.We ulitaka mpenzi wako amlaumu bule.Big up guy
 
Poa best yangu, nitazingatia ushauri wako,

Fidel80 aliniambia jana mlikuwa wote, mlitoka saa ngapi hapo counter

Sasa....khaa!

Angalia wasije wakakubaka......... punguza kujiremba bana! Na usiwachekee hovyo hao wakware.
 
Poa best yangu, nitazingatia ushauri wako,

Fidel80 aliniambia jana mlikuwa wote, mlitoka saa ngapi hapo counter
Khee! kijamaa kimbea eh?

Ebwana usinikumbushe, nlishangaa tu naona wahudumu wanaingiza viti stoo!

Acheni bia iitwe bia!!
 
  • Thanks
Reactions: ram
Hata week days? Si umechelewa kibaruani leo

Khee! kijamaa kimbea eh?

Ebwana usinikumbushe, nlishangaa tu naona wahudumu wanaingiza viti stoo!

Acheni bia iitwe bia!!
 
Ni kwli hakiwezekani, basi tuendele kuwa marafiki tu, yanini uadui tena

fanya jitihada za kumuweka karibu kama alizozifanya yeye kukuweka wewe karibu zama hizo...
natumai utaendeleza urafiki wako kwake kama utakavyo...
 
Back
Top Bottom