Naomba nikupe pole kwanza,
Iko hivi unatakiwa kutimiza wajibu wako wa kumtimizia mahitaji yake no matter ana kipato au hana,
Km anacho na hahitaji basi yy ndio akwambie,
Inaonekana ww hutimizi wajibu ndio maana ameomba,unafikiri nani amtunze ili ww uje kumtumia?
Ulimkuta anapendeza ndio maana ukampenda na km umempenda ni jukumu lako kumtunza tenza zaidi ya ulivomkuta kwan kupendeza kwake ndio fahari yako bro!!
Je ukimwona anapendeza sana kwa vitu vya thaman ile hali humpi hela na unajua ana kipato kidogo utaridhika?
Kitunze kidumu acha kulalamika tena shukuru mungu anakuomba,kuna wenye pesa zao huko wanatafuta wa kumzimpa,
Timiza wajibu wako kwan hata walioowa wake wenye pesa still huwa wanaacha kodi ya meza.