Tabia hii ya akina dada vipi?

Tabia hii ya akina dada vipi?

Kaa mbali na wanadada kama hao. Sio mwema kwako. Mwanadada mwema ni yule anakupa unapokuwa na shida na wewe unampa anapohitaji. Lakini kama anjishusha class hadi akuombe wakati anazo.... She is odd.
 
Acheni ubahili wapeni wenzenu, anaekuomba anakupenda angekuibia je! Ungefanyaje?
 
Bado sijapata sababu za msingi za mazoea haya ya akinadada kuomba, mfano wote ni watumishi mmeenda seminer mnalipwa sawa kwa sababu tu wewe ni mdada basi unaona haki yako kupewa, tukiwa kule chuo wote tunafadhiliwa na serikali bado wadada ni waombaji, ki ufupi inakela sana acheni.
 
Wewe hujawahi kuomba kwa mwanamke???? :eyebrows:
 
Back
Top Bottom