Bado sijapata sababu za msingi za mazoea haya ya akinadada kuomba, mfano wote ni watumishi mmeenda seminer mnalipwa sawa kwa sababu tu wewe ni mdada basi unaona haki yako kupewa, tukiwa kule chuo wote tunafadhiliwa na serikali bado wadada ni waombaji, ki ufupi inakela sana acheni.