Kumbe ana mume! Mbona siku ile alivalia skintight nyeusi?Msameheni huyo dada huenda tu hakusafiri na mumewe, inasemekana wadada wakiwa na kiu tabia huwa zinabadilika, akiwa kwao huyu dada huwa hana tabia zilizosemwa kwenye uzi huu. akikata kiu atarudia tu tabia yake nzuri ya kawaida
Hata huyo nae ni celebrity huko kwenu? Nadhani hamjui maana ya hilo neno!!
Walikuwa safarini na walikuwa wanacharge tu vitendea kazi vyao, sijui waliondoka vipi Dar. Faida au sifa ya mwandishi ni kuona kazi aliyoifanya inaonwa/kusomwa na watu wengine au sio?Mkuu yawezekana yeye alikuwa sahihi zaidi kwani umetuambia mlikuwa ofisini ambapo kazi ni kipaumbele kuliko hiyo habari na inawezekana alikuwa na kazi ya haraka. Katika mazingira hayo lazima uwe mvumilivu na muelewa usikurupuke kumlaumu. Siamini journalist akaandaa taarifa na hapo hapo azuie wateja kuiona
Mheshimiwa mie sijazowea udaku hizo simo kwenye mitandao hiyo, niambie ningeitolea wapi kama sio hapa? Huyu ni mwandishi wa habari hivo kazi yake inatakiwa i-reflect tabia yake tena chombo anachofanyia kazi hiyo kina HESHIMA kubwa tuu.Hajafanya vizuri kwa kweli.........................nawe mtoa mada hili jukwaa si la mada kama hizi.
Ilikuwa ofisini kwa nani kako au ofisi ya mtu mwingine?
Asiyejuwa MAANA usimwambie MAANA.This is private issue. Inamaana ukigombana na mkeo, demu wako, au yeyote yule utakuja kutueleza hapa! Pia hizi ni shutuma; je ye Ufoo Saro ana nafasi ya kujitetea kwenye huu uzi? Nashangaa JF inakoelekea. Kwa nini Moderators hawajablock huu upuuzi hadi sasa hivi? This is shame to discuss non sense topics. Kwani Facebook haipo upeleke hii mada yako huko!:A S angry:
tafadhali tutake radhi, hapo kwenye redMsameheni bure ! Wa Uru Kishumundu ndivyo walivyo
sio kwamba ulishindwa ndo unakuja kujitafutia relifu hapa?Tulimsamehe na ndo maana hatukumpiga.
Msameheni bure ! Wa Uru Kishumundu ndivyo walivyo
Hapana tulifanikiwa kuchomoa charger yake na kuangalia taarifa ya habari. Pana mtu hapa anaona eti hii na too personal na hafikirii kuwa huyu ni REPORTER tena wa ITV sasa anatakiwa awe na BUSARA tena akiwa nje ya kazi yake!! Vinginevo watu tutadharau hata chombo chake cha kazi.sio kwamba ulishindwa ndo unakuja kujitafutia relifu hapa?
tafadhali tutake radhi, hapo kwenye red