Tabia hii ya Ufoo Saro wa ITV ni uandishi wa habari au nini!

Tabia hii ya Ufoo Saro wa ITV ni uandishi wa habari au nini!

Status
Not open for further replies.
Msameheni huyo dada huenda tu hakusafiri na mumewe, inasemekana wadada wakiwa na kiu tabia huwa zinabadilika, akiwa kwao huyu dada huwa hana tabia zilizosemwa kwenye uzi huu. akikata kiu atarudia tu tabia yake nzuri ya kawaida
Kumbe ana mume! Mbona siku ile alivalia skintight nyeusi?
 
Hata huyo nae ni celebrity huko kwenu? Nadhani hamjui maana ya hilo neno!!

We vp !? Hata kijijini kuna maCelebrity !
Siku moja tulienda kijiji kimoja kucheza mpira, kabla ya half time tunaongoza kwa 3 bila ! Ikatumwa pikipiki kenda kuletwa Messi wao na alilipwa Tsh 15,000 ili aje kucheza kipindi cha pili ! Na kweli alipiga hat trick, ngoma droo ! Jamaa maarufu kijiji kizima !
 
Mkuu yawezekana yeye alikuwa sahihi zaidi kwani umetuambia mlikuwa ofisini ambapo kazi ni kipaumbele kuliko hiyo habari na inawezekana alikuwa na kazi ya haraka. Katika mazingira hayo lazima uwe mvumilivu na muelewa usikurupuke kumlaumu. Siamini journalist akaandaa taarifa na hapo hapo azuie wateja kuiona
Walikuwa safarini na walikuwa wanacharge tu vitendea kazi vyao, sijui waliondoka vipi Dar. Faida au sifa ya mwandishi ni kuona kazi aliyoifanya inaonwa/kusomwa na watu wengine au sio?
 
This is private issue. Inamaana ukigombana na mkeo, demu wako, au yeyote yule utakuja kutueleza hapa! Pia hizi ni shutuma; je ye Ufoo Saro ana nafasi ya kujitetea kwenye huu uzi? Nashangaa JF inakoelekea. Kwa nini Moderators hawajablock huu upuuzi hadi sasa hivi? This is shame to discuss non sense topics. Kwani Facebook haipo upeleke hii mada yako huko!:A S angry:
 
Hajafanya vizuri kwa kweli.........................nawe mtoa mada hili jukwaa si la mada kama hizi.
Mheshimiwa mie sijazowea udaku hizo simo kwenye mitandao hiyo, niambie ningeitolea wapi kama sio hapa? Huyu ni mwandishi wa habari hivo kazi yake inatakiwa i-reflect tabia yake tena chombo anachofanyia kazi hiyo kina HESHIMA kubwa tuu.
 
This is private issue. Inamaana ukigombana na mkeo, demu wako, au yeyote yule utakuja kutueleza hapa! Pia hizi ni shutuma; je ye Ufoo Saro ana nafasi ya kujitetea kwenye huu uzi? Nashangaa JF inakoelekea. Kwa nini Moderators hawajablock huu upuuzi hadi sasa hivi? This is shame to discuss non sense topics. Kwani Facebook haipo upeleke hii mada yako huko!:A S angry:
Asiyejuwa MAANA usimwambie MAANA.
 
laptop ameionea ukubwani na hajui kuwa na kazi aliyonayo wengine wanaidharau sana swala ni kujiheshimu tu
 
sio kwamba ulishindwa ndo unakuja kujitafutia relifu hapa?
Hapana tulifanikiwa kuchomoa charger yake na kuangalia taarifa ya habari. Pana mtu hapa anaona eti hii na too personal na hafikirii kuwa huyu ni REPORTER tena wa ITV sasa anatakiwa awe na BUSARA tena akiwa nje ya kazi yake!! Vinginevo watu tutadharau hata chombo chake cha kazi.
 
Ni zuzu kwa sababu gani! Anadhani kuonekana kwenye tv kila siku ndio kilele cha mafanikio ya binaadamu.
 
Nadhani ungemwambia papo hapo au baadae kidogo kwamba kakuudhi ! Sidhani kama kuna haja yakulileta mtandaoni. NI MAONI YANGU TU WAKUU!
 
saa 2 usiku upo ofisini???? night shift au? if so ofisini ni sehemu ya kuangalia news au kufanya kazi?????
la pili tutakuaminije na hii habari kama sio ya kutunga ili kumvunjia heshima dada wa watu?
nani alithibitisha alifanya hili? ulikuwa na kina nani?
any evidence? picha???
JF sio kijiwe cha majungu, hizo ni more private issue, and its not a news to inform us. sio kila habari ni habari
Watanzania tusiendeleze majungu au kushabikia majungu ingekuwa busara zaidi kama mngemalizana na sio kuleta huku JF
kubwa zima unakuwa mmbea so whatt???? tupo bize kujadili mustkhbali wa nchi we unaleta umbea hapa
peleka clouds fm iwe hekaheka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom