Tabia hizi za wageni zinakera

Shule zimefunga wakuu. Tuwavumilie tu.
 
Kama sijapata emergency hua sipendi kufikia kwa mtu. Napenda kulala lodge kwa kua napata uhuru wa kufanya lolote wakati wowote.
Hasa sisi tunaobugia balimi.Hatupendi kwenda ugenini majumba ya watu.Tunawasiliana kama wanachama tutakutana sehemu gani,basi!Ya nini kusimangiwa charger?Wanakuona siku ya pili mchana,unaongea na wenyeji kidogo halafu unajidai una haraka sana.Ndiyo kwa heri mwalimu hiyo.
 
Hii in JAMII! Wewe unalieleawaje neno JAMII?? ukielewa maana ya neno JAMII hata siku moja hautakuja kulalamika kuhusu maada za ajabu/ kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii in JAMII! Wewe unalieleawaje neno JAMII?? ukielewa maana ya neno JAMII hata siku moja hautakuja kulalamika kuhusu maada za ajabu/ kijinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni wasaa muafaka wa kujua tabia za jamii ingine.Mimi sikuwahi kufikiri kwamba kuazima charger ni kosa la kumuudhi mwenyeji wangu mpaka nilipouona uzi huu.
 
Ugenini unakosa freedom sana, pia kingine 'Privacy is not guaranteed'.
ukipiga vitu unakosa 'confidence' kabisa bora kufikia lodge kama ni mitungi unapiga 'to your limit'
 
Ugenini unakosa freedom sana, pia kingine 'Privacy is not guaranteed'.
ukipiga vitu unakosa 'confidence' kabisa bora kufikia lodge kama ni mitungi unapiga 'to your limit'
Wengine tukipiga masanga tunaporudi nyumbani lazima tyimbe nyimbo za kikwetu kwa sauti na shati begani,kifua wazi.Sasa,kwa hii namna ya mleta uzi lazima atanikoyonga makofi.Ndipo vita ya tatu ya dunia itazuka.Nyumba za wageni zidumu!
 
Mtoa maada ana hoja, sema kuna mijitu inajifanya haielewi. Hiyo ndo inasumbua watu. Chaja ina uzito gani mpaka usibebe yako!!? Sasa mwenyeji wako anataka kuchaj nawe ndo unasema niazime chaja. Unajua atakosa dili ngapi kwa kutokuwepo hewani!!?
 
Kweli saa zingine ugeni huwa vimaudhi,ila kwa mfano uloutowa it's a fucking reason na mwingine katolea mfano Wa mpira na tamthilia ya Sultan nyie watu mnaonyesha mna roho chafu sana. Halafu kama roho yako ni mbaya si unawaambia tu hao wageni wasije kwani ni lazima uwakubalie kuja kwako?
 
Mkuu hebu fanya kutuasa yale unayoyakumbuka na sisi ambao huwa tunachukulia vitu kwa urahisi tu.
anasema haifai kwenda ugenini na kuanza kusifu watu wengine kama vile wenyejii wako hawana maana. wanakuandalia msosi unaanza ''mke wa Fulani akikupikia njugu za Nazi! utajikata vidole''. Mara ''watoto wa Fulani vichwa sana''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…