Uzi wa kipuuzi sana huu....JF ishaingiliwa na members wa Facebook... zamani tulikua tunatumia JF kama chanzo cha taarifa na maarifa muhimu,leo tunaingia JF tunakutana na mambo ambayo haya add value kabisa kwenye maisha yetu....inauma sana,ndio maana wengine tumehamia kwenye platform za kimataifa kama Tapatalk,Quora n.k maana huko tunaweza kujadiri mambo ya maana,au tukajifunza vitu vipya,...katika dunia ya leo ya kibepari ubongo unahtaji kulishwa na kujazwa maarifa na taarifa ambazo ni muhimu,....tuliifaidi sana JF miaka ya 2010-2015 lakini baada ya hapo wambea wa Insta, Facebook nao wamejiunga...sasa ukiingia tu unakutana na post ya "uume wangu mdogo,naweza kumridhisha?"like seriously!!.... nowadays we think very small,we are not great thinker any more.....lakini tutafanyaje sasa inabidi tuzoee!
Sent using
Jamii Forums mobile app