KIMIYAKIMIYA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 244
- 321
- Thread starter
-
- #41
Simu ya mwenyeji wako ikizima shauri ya chaja uliyoazima ili tu utoe pevu jf unapoteza deal za mwenyeji wako , ambaye ana kupatia mahitaji yako kwake, haihitaji degree ya chuo kikuu ili utambue hiloNa ni wasaa muafaka wa kujua tabia za jamii ingine.Mimi sikuwahi kufikiri kwamba kuazima charger ni kosa la kumuudhi mwenyeji wangu mpaka nilipouona uzi huu.
Hahahhahahaaha!!!Wengine tukipiga masanga tunaporudi nyumbani lazima tyimbe nyimbo za kikwetu kwa sauti na shati begani,kifua wazi.Sasa,kwa hii namna ya mleta uzi lazima atanikoyonga makofi.Ndipo vita ya tatu ya dunia itazuka.Nyumba za wageni zidumu!
Hakuna mtu ambaye hajawahi kuwa mgeni na kama bado lazima siku moja utakuwa ugenini, kuna vijitabia ambavyo vinaweza kuwa kero kwa wenyeji wako bila ya wewe kujua.
Binafsi sipendi mgeni anayenitembelea ana simu lakini hana chaja, hivyo ratiba ya kuchaji simu yake inaingiliana na mimi mwenyeji huku akitoa visababu visivyoeleweka vya kwanini hana chaja.
Hebu turushie vitabia vya wageni vinavyokera ili tujirekebishe tukiwa ugenini.
Uzi huo leta sindano tuwashone
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea mna degree za vitin, hamjui kuona kitu ndani njeShule zimefunga wakuu. Tuwavumilie tu.
Hayo yote ntazingatia lakini kwa watu jamii ya mleta uzi asahau kupata mgeni sampuli yangu.Hata hivyo nilichokimaizi kwa hawa wakuu,wachoyo wa chaja pini bapa,ni hali ya uchumi tu inawafanya wanakuwa na hasirahasira kwa vitu vidogovidogo tu.Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi.Amina!ukitaka kusafiri fanya yafuatayo
1. panga aina ya usafiri utakaotumia (usafiri binafsi, wa pamoja)
2. hakikisha una vitu muhimu kwa safari na sehemu unakofikia mfano taulo, shuka, power bank, charger na simu ndogo kwa ajili ya dharura, dawa ya meno na mswaki.
3. panga sehemu ya kufikia. kama unafikia kwa mtu hakikisha una mahali pa kufikia bila kusababisha usumbufu. kama ni geto la kuunga bora ujue mapema msije kuonana wabaya. kama ni guest hakikisha
4. panga bajeti ya safari inayohusisha nauli, bili ya guest, nauli za mizunguko na gharama za vyakula na pesa ya dharula. kwenye makadirio ya gharama weka makadirio ya juu kwa mfano nauli ni 35,000/= tenga 40,000/=. kama guest ni 15,000/= tenga 20,000/=
5. kama unaenda kufikia kwa ndugu hakikisha unabeba na vitu kama mchele, matunda au chochote kupunguza ukali wa maisha huko unakoenda.
ukizingatia haya huwezi kukutwa na anachokisema mtoa mada
Degree za vitin , hamna uwezo wa kuona kitu ndani nje , mnaropoka tu, think before you say anything.Shule zimefunga wakuu. Tuwavumilie tu.
Nani kakuambia nina degree?
Uko sahihi kabisa mkuu, ni kwa vile makekengeza ya wengi wanaamini ugeni ni hadi mtu aende nyumba ya mtu mwingine, mwenyeji wako "host" mnaweza kukutana hata njiani tu, maelezo yako yakakufanya mgeni na mwengine akawa mwenyeji, mfano mimi binafsi siku moja nilikuwa nimepaki gari karibu na kituo cha polisi, wakaja vijana wawili wana pikipiki tairi la nyuma limejam halizunguki wanakokota pikipiki yao kwa kuinua tairi la nyuma yaelekea ufunguo ulipote kituoni ama shida nyingine ya kiufundi , sijui. wakaomba pamoja na watu wengine waliokuwa pale mwenye plaiz awasaidie, kwakuwa nilikuwa nayo sikuona sababu ya kuwanyima, niliwapa cha ajabu walipomaliza kazi yao na ile plaiz waliondoka nayo, pale si kwamba wote wawili walijisau, ndivyo baadhi yetu tulivyo, ni njiani pale ila mimi nilikuwa mwenyeji wao na wao walikuwa wageni wangu na mwisho wa siku walinitenda tuliangalie hii issue kwa mapana hayo tutaelewana taratibuHuyo huyo mgeni anaisunda kwenye mizigo yake hio chaji na kuondoka nayo akiwa njian utaona sms oooh samahani nimejisahau nikaondoka na chaji hapo ni mkazi wa mikoa mitatu toka ulipo
Poa, kama chakula mavi , nenda restaurant iliyoko karibu hapo waambie unataka mavi watakupaKama chaja tu unambania, je mgeni akiomba chakula( ambacho binadamu akila ndani ya muda kidogo tu kinageuka kua MAVI) utampa kweli?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Roho mbaya inakusumbuaHakuna mtu ambaye hajawahi kuwa mgeni na kama bado lazima siku moja utakuwa ugenini, kuna vijitabia ambavyo vinaweza kuwa kero kwa wenyeji wako bila ya wewe kujua.
Binafsi sipendi mgeni anayenitembelea ana simu lakini hana chaja, hivyo ratiba ya kuchaji simu yake inaingiliana na mimi mwenyeji huku akitoa visababu visivyoeleweka vya kwanini hana chaja.
Hebu turushie vitabia vya wageni vinavyokera ili tujirekebishe tukiwa ugenini.
Uzi huo leta sindano tuwashone
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa, kama chakula mavi , nenda restaurant iliyoko karibu hapo waambie unataka mavi watakupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah!!! Huwa nawaombea kambi kwingine, nasogeza manzi fasta ili nipate kisingizioHahaha kama mimi chaliangu,naudhikaga kinyama alaf hana shuka anachukua yakwako daah!!
Hahaha kama mimi chaliangu,naudhikaga kinyama alaf hana shuka anachukua yakwako daah!!Sipendi wageni vidume kulala ghetto kwangu, maana sina vitanda viwili. Kulala ndume mbili kwa bed moja ni tizi sana. Labda awe ndugu yangu wa damu na alale ukutani huko.
***Mbire mwene Nyamwonyo***
Halafu ukienda nunua nyingine ukianza kucharge masaa 6 ndiyo simu inajaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo huyo mgeni anaisunda kwenye mizigo yake hio chaji na kuondoka nayo akiwa njian utaona sms oooh samahani nimejisahau nikaondoka na chaji hapo ni mkazi wa mikoa mitatu toka ulipo