Tabia hizi zinanikera!!!!

naungana na wewe kaka,
tabia hizo ni mbaya sana katika maisha ya kila siku hasa maisha ya ndoa
Umesahau lingine KUTONGOZA MKE WA MTU AU MWANAMKE KUJIPENDEKEZA KWA MUME WA MTU HIYO PIA NI MBAYA.
KUNYWA KUPITA KIASI NA KUITELEKEZA FAMILIA, HAIPENDEZ PIA
kwa le naongezea hayo
 
Kurudi usiku wa manane domo linanuka pombe, nguo zinanuka pombe (kama harufu ya kinyesi kwa asiyekunywa) halafu kutaka penzi kama vile mwenzi ni robot hana hisia.
 
Kurudi usiku wa manane, alfajiri, hatimae kuhama nyumbani, kisha kurudi tena na kujifanya yote hayo ni kawaida tuu na unyumba uendelee bila hata kupima virusi.

Anaye fanya hiyo kitu hatuwezi mwita mume ya mtu.
 
Labda hujayaona mitaani watu wameoa wake zao kwa ndoa halali wamelipa mahari na wana watoto nao na wanayafanya hayo.

Kwani kulipa mahali, na kuwa na ndoa halali na watoto nyingi ni kigezo cha kuwa mume au mke wa mtu??. Wengi tunaishi na wanawake wasio na sifa za mke wa mtu na Wanaume wasio na sifa za kuwa mume wa mtu. Wapo wachache sana walio bahatika kuwa Mume na mke.:A S-alert1:
 
Natamani haya angeyasoma fulani (.....) maana amezidi sana tena hiyo 1,2,6,7 ha ha ha umemgusa najua ataiona tu. Umeongea ukweli hasa tena hiyo namba 7 mimi siipendi kabisa
 
Kupiga finger kwenye pokect wakati mume yako bafuni
 

Duuh!! hizi mbili kina mama wanazipenda kweli. Ni sawa na silaha za maangamizi kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…