TABIA INAYOKUUDHI

evart

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
2,838
Reaction score
2,772
Habarini ndugu wana Jf nimatumaini yangu mko vizuri mnaendelea na majukumu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kushirikishana tabia zinazo kuudhi ambazo zimekuwa zikifanywa na baadhi ya watu kwa makusudi au bila kudhamiria
Nikianza na mimi hizi ni baadhi ya tabia zinazo niudhi

Kukojoa bafuni
Hii tabia inaniudhi sana hasa hapa ninapoishi watu sio wastaarabu hata kidogo unakuta mtu mzima mama au baba anafanya huu upuuzi wakati choo kipo

Kupiga kelele hasa wakati wa usiku
Hiki kitu kinaniudhi sana unakuta watu mmelala watu wanaleta makelele yasiyo na msingi wana kera sana


Kugambania chakula misibani
Hili linaniudhi sana unakuta mtu mzima kabisa anagombania chakula kwenye msiba utadhani kwake huwa hali wanakera sana ,ukizingatia ile ni sehemu ya majonzi

Hizo ni baadhi ya tabia zinazo niudhi nyingine nitazidi kuziongeza kadiri muda unavyo kwenda karibuni tushirikishane

Nawasilisha.
 
Mwanaume au mwanamke kupenda kujisifia mbele za watu
 
Kuongea kwa sauti kubwa /kali daah inaniudhi sana. Mtu ambaye huongea kwa style hiyo huwa namchukulia kama hana ustaarabu kabisa.
 
Demu aanze kunipiga chini ...
Hiyo tabia inaniuzi sana kuwa mzembe mpaka kaniwahi
 
Kuongea na simu ishu za nyumbani kwako kwenye public place kwa sauti kubwa.
 
Kuombwa hela na demu hua stim zinakata kabisa ht km nnazigo la mwizi mfukoni!

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…