Tabia mbalimbali zenye kuudhi, kufurahisha na kuhuzunisha kwa member wa JF

Tabia mbalimbali zenye kuudhi, kufurahisha na kuhuzunisha kwa member wa JF

Kama kuna wengine mwawajua mwaweza endeleza mm nitarud baadae..
 
Kuna member humu kazi yake muda wote ni kupost uchawi uchawi tu halafu akiulizwa kama yeye ni mchawi anakana na kujiita mrokore
 
Mimi sina cha kusema.....sipendagi kusimangwa maana sipangiwi cha kuandika...!!
 
Back
Top Bottom