Tabia mbaya ya wahudumu wa baa

Inapendeza

Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
20
Reaction score
15
Yani unaends bar , mhudumu anakuomba bia unaruhusu apewe, matokeo yako atajizungusha wee.....kinywaji asinywe na anasuka mpango kaunta wanampa hela baada ya kile kinywaji..
Wanaboa sana,,,,kutuona wateja maboya
 
Sioni hasara kwa upande wako manake mwisho wa siku unachofanya ni kutoa pesa ya kinywaji.....iwe kanywa,kachukua pesa uliyolipia kinywaji ama kachukua kinywaji halafu akamwaga hiyo ni yeye sasa

Mjini mipango
 
Ofcourse kumpa kinywaji unakuwa unatafuta kampany take na inabidi aichukue kaunta aje aiweke hapo mezani ulipokaa atakuwa anakuja anakuntwa wakati akiendelea na kazi. Pia, kumpa kinywaji ni njia ya kuungiza gia ya malividavi. Sasa hiii ya kubadilisha na hela umnajikosesha mengi! Jirekebishe au tutakuwa hatuwapi offer
 
Sioni hasara kwa upande wako manake mwisho wa siku unachofanya ni kutoa pesa ya kinywaji.....iwe kanywa,kachukua pesa uliyolipia kinywaji ama kachukua kinywaji halafu akamwaga hiyo ni yeye sasa

Mjini mipango
Na walevi wengi sorry wanywaji wapo tayari ulewe tu ila mwambie home hata dagaa hamna naomba hiyo hela hupewi ng’o!
Mhudumu yupo sawa si hatakiwi kulewa akiwa kazini!
 
Ukitoa toa tu or ukisaidia saidia bila masharti,akinywa bia bado utalipa pesa,asipokunywa bado utatoa pesa,suala la kutoa pesa liko pale pale haliepukiki,hao pia ni wazazi na wanafamilia kama ww,anapokuomba bia ni chambo tu pengine kaacha mtoto nyumani hajala atakuwa mzazi mpumbavu anywe bia halafu mtoto alale njaa..hiyo janja janja yao ni aibu tu kusema naomba hela ya kula usije muona ni omba omba na walevi wengi ni heri akununulie bia kuliko chakula jiongeze Mlevi mwenzangu kuwa na huruma ..ahsante

Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 
Na walevi wengi sorry wanywaji wapo tayari ulewe tu ila mwambie home hata dagaa hamna naomba hiyo hela hupewi ng’o!
Mhudumu yupo sawa si hatakiwi kulewa akiwa kazini!

Hahahah walevi wanataka kila mtu alewe
 
Kwani huyo barmaid anapokuomba hicho kinywaji ni lazima umpe/umlipie? Na kama unataka anywe huku ukimuona, kwa nini usimpe sharti la kuja kunywea mahali ulipo?

Wenzako huwa tunapigwa sana, lakini tunapuuzia tu. Maana hayo ndiyo matumizi ya hela sasa kwenye mazingira kama hayo. Au unafikiri huo mshahara wao wa elfu 50 kwa mwezi unawatosha?
 
Sioni hasara kwa upande wako manake mwisho wa siku unachofanya ni kutoa pesa ya kinywaji.....iwe kanywa,kachukua pesa uliyolipia kinywaji ama kachukua kinywaji halafu akamwaga hiyo ni yeye sasa

Mjini mipango
Mlevi anaweza kukulewesha wiki nzima lakini atalalamika sana kukununulia chakula siku moja tu!..
 
Ila hii kitu , wengi tunaokula vitu imetupata
Yani unaends bar , mhudumu anakuomba bia unaruhusu apewe, matokeo yako atajizungusha wee.....kinywaji asinywe na anasuka mpango kaunta wanampa hela baada ya kile kinywaji..
Wanaboa sana,,,,kutuona wateja maboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…