Tabia na Matendo ya Samia Suluhu Hassan ndo Kielelezo na asili ya matendo ya Wanawake?

Tabia na Matendo ya Samia Suluhu Hassan ndo Kielelezo na asili ya matendo ya Wanawake?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Matendo ya Samia Suluhu Hassan ndo asili ya matendo ya Wanawake?

Uzuri, matamshi ya maneno, ukarimu, uchapakazi macho na mdomo, ni mwanamke wa kiafrika kabisa hata huruma na matamanio.

Matendo ya Samia ni kielelezo tosha. Wanawake wote waliojikomboa kiuchumi na wote walio hudhuria mkutano wa Beijing watanielewa.

Matendo ya Simia nafasi yake na uongozi wake ndo matamanio ya wanawake wote hasa wapenda siasa.

Iwe uzuri au ubaya. Samia ni first lady wa Taifa. Kielelezo.

Mfano Samia hajaguswa na vifo vya watoto wa wanawake wenzie. Anajisifia kupata uongozi wa dhuruma. Pia angalia anavyocheka akishangiliwa kwa ubaya.
_118265083_24d6b15d-27d3-4415-a461-5cdbc7789671.jpg.webp

Pale anaposikia wananchi wake wamekufa, ukute anacheka hivi
 
Samia ni first lady wa Taifa. Kielelezo.
Rais Samia sio first lady, first lady ni mke wa Rais, yeye ni Rais, kumuita first lady ni kumshusha, mumewe ndio first gentleman.

Kwa sasa nchi haina first lady, mialiko ya kimataifa ya first lady anakwenda Salma.
P
 
Rais ndo raia namba moja wa taifa. Na mtu akiwa Rais ni Mwanamke tu ndo maana anaitwa lady. Ufesti ledi hauna mipaka. Thoughnaheshimu hoja yako. Pitia vitabu tena. Hata hayo ya gentleman hayapo kikatiba, bali mulipachika tu kama maswali ya yes au no.

Napenda kujifunza, nioneshe andiko linaloonesha Rais hawezi kuwa first laady. Sio uledi tu, Rais pia ni mbunge pia ni waziri. Huwezi sema rais usimuite mbunge sababu ni rsis au usimuite Waziri..

Rais James Buchanan hakuwa na Mke, je first lady wa taifa alikuwa nani? Na gentleman alikuwa nani?

Nasubiri kujifunza kutoka kwako.
 
Kama akiendelea kuziba masikio awamu yake hii itakumbwa na maandamano mengi ya mara kwa mara.
 
Tusije tukafanya kosa tena la kutawaliwa na mwanamke. Vitabu vya dini vinakataa. Unafikiri ni kwa nini? Hata familia tu ikitawaliwa na mwanamke ni hekaheka sembuse taifa?

Najua ulikuwa ni mpango wa wanamtandao huyu mama awe mgombea mwenza wa Magufuli ila hata Magufuli naye alikosea sana kuwakubalia. Ni afadhali angewakatalia wakamuua mapema kuliko hili balaa alilotuachia. Inasitikitisha sana!
 
Matendo ya Samia Suluhu Hassan ndo asili ya matendo ya Wanawake?

Uzuri, matamshi ya maneno, ukarimu, uchapakazi macho na mdomo, ni mwanamke wa kiafrika kabisa hata huruma na matamanio.

Matendo ya Samia ni kielelezo tosha. Wanawake wote waliojikomboa kiuchumi na wote walio hudhuria mkutano wa Beijing watanielewa.

Matendo ya Simia nafasi yake na uongozi wake ndo matamanio ya wanawake wote hasa wapenda siasa.

Iwe uzuri au ubaya. Samia ni first lady wa Taifa. Kielelezo.

Mfano Samia hajaguswa na vifo vya watoto wa wanawake wenzie. Anajisifia kupata uongozi wa dhuruma. Pia angalia anavyocheka akishangiliwa kwa ubaya.
View attachment 3496615
Pale anaposikia wananchi wake wamekufa, ukute anacheka hivi
Hii ni tabia ya mtu binafsi sio jinsia

Dunia imekuwa na viongozi wa kitaifa wengi sana wanawake na walifanya vizuri TU.

Wala haiwi sababu ya kutokuamini wanawake kwenye uongozi
HUo ni uwezo wa mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom