figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Rais Samia sio first lady, first lady ni mke wa Rais, yeye ni Rais, kumuita first lady ni kumshusha, mumewe ndio first gentleman.Samia ni first lady wa Taifa. Kielelezo.
Rais ndo raia namba moja wa taifa. Na mtu akiwa Rais ni Mwanamke tu ndo maana anaitwa lady. Ufesti ledi hauna mipaka. Thoughnaheshimu hoja yako. Pitia vitabu tena. Hata hayo ya gentleman hayapo kikatiba, bali mulipachika tu kama maswali ya yes au no.Rais Samia sio first lady, first lady ni mke wa Rais, yeye ni Rais, kumuita first lady ni kumshusha, mumewe ndio first gentleman.
Kwa sasa nchi haina first lady, mialiko ya kimataifa ya first lady anakwenda Salma.
P
Hauko peke yako unayesema hivi. Hata wifi yako naye amekatishwa sana tamaa na utawala wa mwanamke mwenzake.Miaka na miaka tumepigania haki ya wanawake kuongoza, only kuja kufanya haya.
Highly disappointed!
Hii ni tabia ya mtu binafsi sio jinsiaMatendo ya Samia Suluhu Hassan ndo asili ya matendo ya Wanawake?
Uzuri, matamshi ya maneno, ukarimu, uchapakazi macho na mdomo, ni mwanamke wa kiafrika kabisa hata huruma na matamanio.
Matendo ya Samia ni kielelezo tosha. Wanawake wote waliojikomboa kiuchumi na wote walio hudhuria mkutano wa Beijing watanielewa.
Matendo ya Simia nafasi yake na uongozi wake ndo matamanio ya wanawake wote hasa wapenda siasa.
Iwe uzuri au ubaya. Samia ni first lady wa Taifa. Kielelezo.
Mfano Samia hajaguswa na vifo vya watoto wa wanawake wenzie. Anajisifia kupata uongozi wa dhuruma. Pia angalia anavyocheka akishangiliwa kwa ubaya.
View attachment 3496615
Pale anaposikia wananchi wake wamekufa, ukute anacheka hivi