Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema Mkuu!?Heri mimi sijasema........
TOKENI MNAOTUKANA WANAUME WA DAR WA MIKOANI MNA MAJUNGU KWELIHujambo Munkari mrembo.
Mbona unashangilia madongo? Uliwahi pata mchepuko "mwanaume wa dar" akakukera?
Wanaume wa Dar akijikwaa anapiga picha ,anaweka insta na kuomba likes!Akila chips anaweka fBHuu mjadala wa wanaume wa dar naukuta hapa jf tu, sehemu zote nyengine siukuti
Hivi huko Dsm ndio kuna wanaume njoo mikoan uoneYani mie binti angu sjui atapata nani hata wa kumfikisha peak,vijivulana ninabyoviona ni kunywa juisi azam na chips?Shame upon all Dar parents,Juisi ya azam jamani ukuni utasmamaje?Chips kweli unaweza kumfikisha mwanangu kileleni?
Sasa na joto lote hilo, mtu atembee haraka ili iweje, kama unataka kutembea haraka nenda huko Mufindi, Makambako, Njombe na maeneo mengine kama hayo.Tumia muda huu kumshauri yeyote unayemjua dar kutembea vizuri na kwa haraka. Pia tufanyie yoba kwa Mungu atusamehe tunamtia aibu.
Naomba namba yake ya simu.Yani mie binti angu sjui atapata nani hata wa kumfikisha peak,vijivulana ninabyoviona ni kunywa juisi azam na chips?Shame upon all Dar parents,Juisi ya azam jamani ukuni utasmamaje?Chips kweli unaweza kumfikisha mwanangu kileleni?
Siku dem wako akitia timu dar.. andika maumivu.. atakutana na sausage hatareeeeeInakuwaje wanaume wa Dar tunatembe kimdebwedo kiasi hichi? Biblia yangu inasema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, siamini hata kidogo Mungu anatembea kivivu namna hii (walking aimlessly) wengine hujui kama wanarudi au wanaenda walikotokea. Kuna baadhi ya vitabu vina associate mwendo wa mtu na thinking capacity.
Tembea actively, kuwa sharp vuka barabara haraka pia fanya mazoezi ya kutembea au jogging mara kwa mara kula vizuri ili uwe na mwili mzuri mwanaume anakuwa na mtumbo mkubwa na tumbo la nyuma/big bottom(nimakata ukali wa neno) utazanishia kifusi matokeo yake mtu anakuwa kama gogo.
Sasa kuna wengine kutembea na kuzungumza vinalandana hili ndio balaa zaidi.
[emoji1] ni ma gold diggers wa kiumeNi kweli mkuu baadhi ya wanaume wa Dar Wakija mikoani wanapenda kulelewa kwa mfano hapa arusha wanaume wa Dar Wengi Wao wana tabia ya kulelewa na wanawake alafu ni wambea yani kila kitu ukimwambia anasema , mwanau Hawez hata kujishughulisha anamtegemea mwanamke yy anachojua ni mechi ya 6 x 6 na ukikaa vibaya anatembea had na marafiki zako. Hapa arusha wanawake Wengi wanalalamika kuwa wanaume wa Dar wanapenda kulelewa. Na ukiishiwa wanakuacha wanahamia kwa mwanamke mwingine.