Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

nahama dar narudi mbeya kwetuuuuuuuuu maana mmezid utani kweli JPM YUPO HAPA
 
Nimesikitishwa sana na huyu mtoa mada tatizo lako ni wivu wa kike tu sio wote mkuu
 
Ya mwezi mmetuandama sana wanaume wa dar sijui tumewakosea sana mbona tukija huko shamba mnatushobokea sana na hatusemi
 
Siku hizi hakuna wanaume Wa shoka, miaka kadhaa ijayo wanetu watapa shida sana, maana hata sasa lazima wastue na viroba
 
Yani mie binti angu sjui atapata nani hata wa kumfikisha peak,vijivulana ninabyoviona ni kunywa juisi azam na chips?Shame upon all Dar parents,Juisi ya azam jamani ukuni utasmamaje?Chips kweli unaweza kumfikisha mwanangu kileleni?
 
Hivi huko Dsm ndio kuna wanaume njoo mikoan uone
 
Tumia muda huu kumshauri yeyote unayemjua dar kutembea vizuri na kwa haraka. Pia tufanyie yoba kwa Mungu atusamehe tunamtia aibu.
Sasa na joto lote hilo, mtu atembee haraka ili iweje, kama unataka kutembea haraka nenda huko Mufindi, Makambako, Njombe na maeneo mengine kama hayo.
 
Yani mie binti angu sjui atapata nani hata wa kumfikisha peak,vijivulana ninabyoviona ni kunywa juisi azam na chips?Shame upon all Dar parents,Juisi ya azam jamani ukuni utasmamaje?Chips kweli unaweza kumfikisha mwanangu kileleni?
Naomba namba yake ya simu.
 
Siku dem wako akitia timu dar.. andika maumivu.. atakutana na sausage hatareeeee
 
[emoji1] ni ma gold diggers wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…