Tabia usiyoweza kuiacha hata uoe/uolewe

Tabia usiyoweza kuiacha hata uoe/uolewe

kila mtu ana tabia yake ambayo huenda mwenza wake inamkera au itamkera kwenye maisha ya ndoa lakini kamwe hawezi kuiacha

kwa wale walioa ni tabia gani wameshindwa kuziacha wakati huu wa maisha yao ya ndoa

Au sisi tutakaokuja kuoa ni tabia gani tunahisi tutashindwa kuziacha katika maisha yetu ya ndoa

mfano mimi : KUBETI siwezi acha hata nikioa

Pia wewe Inaonekana utakuwa mchepukaji katika ndoa, ๐Ÿคฃ
 
kila mtu ana tabia yake ambayo huenda mwenza wake inamkera au itamkera kwenye maisha ya ndoa lakini kamwe hawezi kuiacha

kwa wale walioa ni tabia gani wameshindwa kuziacha wakati huu wa maisha yao ya ndoa

Au sisi tutakaokuja kuoa ni tabia gani tunahisi tutashindwa kuziacha katika maisha yetu ya ndoa

mfano mimi : KUBETI siwezi acha hata nikioa
Kwani hiyo ni tabia au aina ya ujinga?
 
Mie ma vitu mengi tu Bana km ifutavyo;

Kuingia JF humu du!! sometimes nacheka mwenyewe! hii sijui nifanyeje ni km kilevi flani sugu! angalia sasa ni kama naongea na da vinci xv face to face wakati hata sijawahi kumuona!! kuna watu wabishi humu oooh! hapo yeah! raha sana!

Kula vizuri, Elimu, na kukaa pazuri kumenimalizia hela sana!! na nina penda mno kuliko chakula! tangu nyumbani mpaka ugenini! sijui km kuna mtu km mimi!

kutembea tembea huku na huko Duniani, sasa hivi nimefika kusiko fikika ajili ya hii raha! sijui nikiwa Rais itakuwaje manake nitaporomosha hela ya hazina yoooote ajili ya safari.. mpaka sasa Covid imenibania nchi moja hivi wanasema hkn kutoka wala kuingia, ndo msimamo wao!

Sasa nimeamua nitulie hapa na nipate kibarua kabisaaa hapa hapa! bahati nzuri Rais wa nchi hii huyu tuna elewana! na utaalamu wa Elimu yangu unawafaa mno! na Rais anatushauri kwa udi na uvumba tuchukue uraia kabisaa! make hatujui kesho wala kesho kutwa gonjwa hili litaisha vipi!

Kitu kingine ngono Bwana wee! sijui kile kidude kina nini! wadada jamani mtusamahe bure hii kitu inachukua akilizetu zooote! pia punguzeni urembo na uchokozi wenu,

Asa kwa mfano mleta mada ''mtu mdada mweupeee!! kakuvalia kichupi jamani mweee!! Sijui Bikini utadhani hanyi!! eti anajifanya ana ogelea bwawani kweli? nikiwa Rais wabakaji mtapona sana! ila nitawashauri wadada kila kona jijini nitaweka camp ya ushauri.

Nimejitahidi Sana kufululiza kuzipiga labda nita kinai lkn wapi! mie ndo nachakaa! na kila ukimaliza kufanya hapa una taka pale kule! sasa nina watoto takribani kila nchi! wako fanana sana km mie! sasa napumzika hii kazi haina mwisho...........
 
ulipoingia tu point ya kula vizuri, kukaa pazuri ,kutembelea nchi zenye mandhari mazuri akili yangu ikasema huyu mkuu lazima NGONO anaihusudu....

ila papuchii daah sjui ina nini??๐Ÿค”
 
Weee! Kiboko sasa ukimpata mmasai si ndo utadoda!!!! Mgogo hautakaa urudi kwenu! na ndo itakuwa mwisho kama ukijaribu Msomali sijui Mkurya! siyo wa kipunguni! hata.... Tarime kureee! choma ndani!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
kila mtu ana tabia yake ambayo huenda mwenza wake inamkera au itamkera kwenye maisha ya ndoa lakini kamwe hawezi kuiacha

kwa wale walioa ni tabia gani wameshindwa kuziacha wakati huu wa maisha yao ya ndoa

Au sisi tutakaokuja kuoa ni tabia gani tunahisi tutashindwa kuziacha katika maisha yetu ya ndoa

mfano mimi : KUBETI siwezi acha hata nikioa
Mbona wapenda kubashiri sana, subiri uingie kwenye ndoa ndio utajua!
 
Back
Top Bottom