Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
11. Kuna mijanaume yenye tabia za kike... kazi kuwasema wanaume wenzao... haya ndo post yoyote lazima yaandike "wanaume wa Dar"
Nimewaza mwanaume akisema 'mijanaume' nkaunganisha na apa 'tabia za kike' nkawakumbuka hizi hali utazikuta kwa wanaume wa Dar tu