mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Huu mji una mademu wazuri kiasi si sana
Mademu wakali either wanaasili ya Musoma au Kagera ambayo ni mikoa jirani. Mademu wa Mwanza wako vizuri katika kugawa namba ya simu ila cha ajabu hawajui umuhimu wa simu, demu ukimuomba namba hakatai ila sasa ujue utapiga sana simu hutapokelewa.
Mbinu pekee ya kuwakomesha hawa viumbe ukimtongoza hakikisha unaondoka nae hapohapo au ujue nyumbani kwake umtilie timu ila namba pekee haitakusaidia.
Mademu wa Dar akikupa namba ataonyesha ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutajiwa shida zake ili umsaidie