KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Binti mdogo wake na wife kaja kututembelea baada ya yeye kumaliza shule (kidato cha nne). Dogo alivyofika alikuwa mpole sana as days goes on naona anazidi kucharuka anaongea na simu mpka usiku mnene. Nishamwambia wife aongee nae anasema anaogopa atamkwaza na itaonekana anamnyima uhuru.
Jana dogo kaongea na simu mpka saa nane usiku. Nakuja kustuka usingizini nasikia mtu anaongea na simu moyoni nikasema huyu binti hanijui. Asubuhi kumekucha ikabidi nimkalishe chini nimpe orientation ya kuishi kwenye nyumba yangu mbele ya dada yake. Akaomba msamaha yakaisha.
Hawa mabinti wanapata wapi huu ujasiri? Watu wamelala yeye anajiachia story kama mchana vile? Japo kuna Gipsum bado sauti yake iliniamsha.
Ni huyu wa kwangu tu au na wa kwenu wapo hivyo?
NB😀ogo ana miaka 18 tu.