Tabia ya kucheat

Ngomo

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Posts
200
Reaction score
95
KATIKA NDOA NYINGI SIKU HIZI WANAUME WA WANAWAKE WAMEKUWA NA TABIA YA KUTOKA NJE KWA KISINGIZIO CHA KUTORIDHISHWA NA WENZI WAO. SASA KAMA UNAHISI HUWEZI KURIDHISHWA NI BORA UTOKE KWENYE NDOA UBAKE NA HAO UNAOTAKA KUIBA NAO TUNDA. kWANINI WATU WENGI WANA JIFANYA WAPO KWENYE WAKATI WOTE WANAIBIANA ?
 
Kwa sababu sababu za kuibiana zipo.
Ila hamna sababu za kutoka kwenye ndoa.

Hata kama una ng'ombe mara moja moja unataka soseji.
 
kwa sababu sababu za kuibiana zipo.
Ila hamna sababu za kutoka kwenye ndoa.

Hata kama una ng'ombe mara moja moja unataka soseji.

kongosho kwani hao ng'ombe huwezi tengeneza soseji mpaka ukaibe ya wenzako?
 
nkuulize ww uneoa au kuolewa??
tupe jibu ndio tukupe majibu yetu
mambo ya kusalitiana ktk ndoa ni jambo lisiokuwa na jibu moja
 
unadhani bia ya bar na ile ya kunywea nyumbani ladha zinafanana?????
 
Uliona wapi shetani akasikia.
 
Kiu ya maji haimalizwi na uji
 
Ngomo bana,just stay put katika ndoa yako,tunakuombea kila la kheri!
 
cheat responsibly........ teh hujaipata hii.
 
Nafsi ya binadamu imekua'created na miamala mitatu.
So far due that thin' it may lead a human being to be much complicated than others leving things
 
he he he mi sijaoa ngoja tuwasikilize wanandoa
 
Haya, wanandoa mlio kwenye ndoa kazi kwenu....Mi bado aisee
 
Kwa sababu sababu za kuibiana zipo.
Ila hamna sababu za kutoka kwenye ndoa.

Hata kama una ng'ombe mara moja moja unataka soseji.

Na kama walivyokataa kuwa na
Mungu katika fahamu zao,
Mungu aliwaacha wafuate akili
zao zisizofaa, wayafanye
yasiyowapasa.
Warumi 1:28.
 
nzowa i love the way u read my mind.mungu akikupa mke mwema hawezi kuwa na tabia za kucheat.tatizo siku hizo ndoa zetu nyingi hazina baraka toka kwa wazazi vijana tuna pupa sana na hatuna subira .ni wachache sana walio kwenye ndoa ambao humshirikisha mungu katika jambo.mahusiano mengi yanaanzia bar na social network.wengine wanaolewa na kuoa sababu ya umri na sio tija na kuwa na mapenzi ya dhati.hakika tupo kwenye kizazi kibovu sana.
 
ok mtoa mada kama umoa basi nadhani sio mda mrefu
ndoa ina mambo mengi na visa vingi vilivofichwa ktk pazia la chumbani
kama umebarikiwa ndoa yako iko sawa na mnaishi kadiri ya mapenzi yenu nawapa hongera
wapo wanaotoka nje ya ndoa kwa kutoridhishwa na wenzi wao,wengine tamaa,wengine maudhi
wengine washazoea tangu mwanzo kutokuwa na mpenzi mmoja
wengine wanatafuta ladha tofuati nk,una haki kuwashangaa lakini usijihesabu utakuwa mkamilifu daima labda kwa uweza wa Mungu pekee, nimekumbuka kisa kimoja jamaa yetu mmoja alikuwa akikosoa kila mara watu wanaosaliti ndoa zao
siku moja alichelewa kufika home kwake alipitia small house

kujiongezea nguvu kumbe baada ya shughuli akajisahau alishtuka saa 8 usiku huku simu yake ina missed calls kama 20 hivi za mkewe
asbh alidamkia oysterbay akaongea na polisi mmoja wa zamu akampa sh 50,000 akamwomba ampigie mkewe simu kumjulisha yupo kituoni eti kakamatwa usiku akiendesha gari akiwa amelewa akaambiwa amdhamini kwa sh 50,000
mke kwa pendo lake alikuja haraka kumdhamini mumewe asijue kafanyiwa usanii na mumewe
hadi leo mkewe hajui labda kisoma hii habari lkn yashapita.

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…