Tabia ya kuchungulia wallet...

Boflo kwani hujui kusoma? Kinaitwa Ikungulyabashashi. Hebu jaribu kutamka hilo jina kwa sauti.

Hilo jina gumu sana kulitamka, duh!

Hivi hicho kijiji kitakuwa kina manyani wengi au?
 
si unajua ndugu mjini WALLET...hapendwi mtu!
 
Jamani,kiukweli sichukii watu kuchungulia waleti,ila nachukia sana demu wangu kuichungulia,hasa tukiwa faraghani,yani umepanga mtumie kiasi fulani,akiiona waleti imekata pembe tu,duh atatangaza shida hapo hapo! Nachoka!
 
mwanaume anayetembea na walet anapesa ya mawazo....mi situmii walet..
 
wanachungulia ili labda kujua wewe ni mtu wa aina gani kama una mihela au mijihela.
 
Kuchungulia ni kutaka kujua muamala. Lakini ukiwa kwenye first date bora uweke mahesabu kumkichwa ujue salio sh ngapi. Unaweza kumtisha binti badala ya kuagiza red bull ataagiza fanta akiona unadekshia sana wallet.
 
aku...kadi ya nini....wallet ndo nzuri bwana....huku ukiniimbia huo wimbo...

Ucjari..nakukabidhi Wallet yenyewe.. na Kadi na Nywila yake au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…