makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,620
- 5,260
HAYA NDIO MADHARA YA KULALA KANISANI
Kanisani leo kuna mdada alikuwa amelala, akaamka akasikia Pastor anasema
"SIMAMA"
Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimama!
Pastor akaendelea vizuri endelea kusimama, tumepata mmoja hadi sasa aliyesimama narudia kwa mara ya mwisho kama hujasikia vizuri
"kama wewe umewahi kusaliti au bado unasaliti ndoa yako SIMAMA"
Binti amezimia hadi muda huu!